Tuesday, November 1, 2011

UCHANGIAJI KATIKA JAMII

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dk. Makongoro Mahanga akikabidhi sh. 400,000 kama mchango wake kwa Mkurugenzi wa Shirika la Wanawake wanaoishi na Virusi vya UKIMWI mjini Morogoro.

VIJANA WAKIIGIZA

Watoto Bakari Hemed na Abubakar Saud wakiigiza kama watoto yatima katika uzinduzi wa shirika la wanawake wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Morogoro.

DK. Mahanga akiangalia kazi za mikono

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dk. Makongoro Mahanga akiangalia kazi za wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa Shirika la Wanawake wanaoishi na Virusi vya UKIMWI mjini Morogoro mwishoni mwa mwiki.

KAMATI IKIWAJIBIKA KATIKA MAJUKUMU YAKE

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma akitoa maelekezo kwa Bodi ya NHC baada ya kupitisha hesabu zake Dar es Salaam jana.

Saturday, October 22, 2011

Mtoto Hoseah akiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kasulu kwa matibabu, Hoseah ameunguzwa moto kimaajab hivyo anahitaji msaada wa hali na mali.
Add caption
Mbunge wa Jimbo la Segerea Dk. Makongoro Mahanga akipongezana na wanafunzi wa shule ya msingi Kisukuru muda mfupi baada ya kuwakabidhi madawati.

Elimu kwa umma kuhusu Mfuko wa Afya wa Jamii (CHF)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizindua gari la matangazo litakalotumika kutoa elimu kwa vielelezo katika ngazi za vijiji, kata na tarafa, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba.