Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Alphaxard Lugola wa pili kutoka kushoto akihoji jambo kwa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) wakati wa ukaguzi hesabu zake za mwaka jana, wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ambayo ilikataa kupitisha hesabu za TCRA kutokana na matumizi makubwa na kutofuatwa kwa sheria ya manunuzi(PICHA NA GRACE MICHAEL) |
No comments:
Post a Comment