Tuesday, April 17, 2012


Ofisa Elimu kwa Umma, Grace Michael akimpa pole mwanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa muda mfupi baada ya Mfuko huo kutoa msaada wa mashuka kwa ajili ya wagonjwa wote.

No comments:

Post a Comment