Baada ya uhamasishaji |
Wananchi wakijiandikisha kujiunga na CHF baada ya kuridhishwa na huduma zake |
Uhamasishaji ukiendelea, katikati ni Mheshimiwa Diwani Bwana Kuga baada ya kuchangia kaya sita |
Wananchi wakifuatilia kwa makini zoezi la kujiunga na CHF |
Mzee akichangia mada na kuonesha mfano wa kuwa wa kwanza kujiunga baada ya kuhamasishwa |
Wazee hawakuwa nyuma kueleza manufaa ya CHF |
Waeleze wananchi wanavyoweza kupata huduma za matibabu |
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF naye hakuwa nyuma katika uhamasishaji |
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii Rehani Athumani akieleza umuhimu wa CHF |
No comments:
Post a Comment