Tuesday, November 13, 2012

Dk Mwinyi alivyotembelea miradi ya uwekezaji ya NHIF

Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya uwekezaji inayotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika Chuo Kikuu cha Dodoma na Hospitali ya Rufaa Dodoma.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid (Kati kati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Emanuel Humba kabla ya ukaguzi wa miradi ya vituo vya kisasa vya uchunguzi wa magonjwa vilivyoko mkoani Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na uongozi wa NHIF baada ya kukagua miradi iliyowekezwa na NHIF mjini Dodoma, kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Deogratius Ntunkamazina.

Viongozi wakielekea kukagua mradi uliopo UDOM

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF baada ya kukagua mradi.

Ukaguzi ukiendelea

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akionesha namna ujenzi unavyoendelea.

No comments:

Post a Comment