Thursday, July 19, 2012
Wednesday, July 18, 2012
Wabunge walivyopata mafunzo NHIF
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi kwa waheshimiwa wabunge |
Wakisikiliza kwa makini namna utunzaji wa kumbukumbu unavyofanywa |
Waziri, Naibu Waziri na Mkurugenzi Mkuu NHIF wakifurahia jambo baada ya mkutano |
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHIF, Deogratius Ntunkamazina akitoa salam za bodi |
Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa akitoa salam za Wizara katika mafunzo hayo |
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr Seif Rashid akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo. |
Meneja wa NHIF Kanda ya Kati, Daud Bunyinyiga akijitambulisha kwa waheshimiwa wabunge |
Waheshimiwa wabunge na baadhi ya maofisa wa NHIF wakifuatilia mada mbalimbali |
Mheshimiwa Martha Mlata akitoa neno la shukurani baada ya mafunzo |
Waheshimiwa wabunge wakipewa maelezo ya namna ya utunzaji wa kumbukumbu za wanachama katika kituo cha kisasa cha kuhifadhia. |
Elimu ikiendelea kwa waheshimiwa wabunge |
Subscribe to:
Posts (Atom)