Meneja wa NHIF Kanda ya Kati, Daud Bunyinyiga akijitambulisha kwa waheshimiwa wabunge |
Waheshimiwa wabunge na baadhi ya maofisa wa NHIF wakifuatilia mada mbalimbali |
Mheshimiwa Martha Mlata akitoa neno la shukurani baada ya mafunzo |
Waheshimiwa wabunge wakipewa maelezo ya namna ya utunzaji wa kumbukumbu za wanachama katika kituo cha kisasa cha kuhifadhia. |
Elimu ikiendelea kwa waheshimiwa wabunge |
No comments:
Post a Comment