Wednesday, July 18, 2012

Wabunge walivyopata mafunzo NHIF

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi kwa waheshimiwa wabunge

Wakisikiliza kwa makini namna utunzaji wa kumbukumbu unavyofanywa

Waziri, Naibu Waziri na Mkurugenzi Mkuu NHIF wakifurahia jambo baada ya mkutano

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHIF, Deogratius Ntunkamazina akitoa salam za bodi

Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa akitoa salam za Wizara katika mafunzo hayo

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr Seif Rashid akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo.

No comments:

Post a Comment