Akikabidhi kadi kwa akina mama wanaonufaika na mradi huo. |
Mkuu wa Mkoa akiangalia vitambulisho vilivyotolewa na NHIF akiwa na viongozi wa Mkoa wa Tanga na Mbeya ambako Mradi huu unatekelezwa pamoja na wafadhili wa mradi huo. |
Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Bi. Zipora akipokea vitambulisho vya akina mama wajawazito wilayani kwake. |
No comments:
Post a Comment