Tuesday, August 9, 2011

Serikali ifanye maamuzi kuhusu mafuta-Wabunge

Sakata la mafuta sasa limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini January Makamba kuwasilisha hoja bungeni akitaka mjadala wa dharula kuhusu mafuta.

Katika hoja yake, Makamba amehoji uwepo wa Waziri mwenye dhamana Willium Ngeleja na  Waziri Mkuu kwa kushindwa kuchukua hatua zozote kuhusiana na sakata hilo ambalo limeleta usumbufu mkubwa kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment